Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Nov 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38067" align="aligncenter" width="849"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati akijibu swali la Mhe. Asha Jecha(hayupo pichani) kuhusu ukatili wa watoto katika kikao cha tano cha Mkutano wa 13 wa Bunge jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_38068" align="aligncenter" width="824"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu swali kuhusu mikakati ya Serikali kuimarisha sekta ya michezo nchini wakati wa kikao cha tano Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38069" align="aligncenter" width="900"] Mbunge wa Hanang’i Mhe. Mary Nagu akichangia hoja kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa mwaka 2019/2020 katika kikao cha tano Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38070" align="aligncenter" width="900"] Baadhi ya wageni waliotembelea Bunge wakati wa kikao cha tano cha Mkutano wa 13 wa Bunge wakifuatilia michango ya wabunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38071" align="aligncenter" width="900"] Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha tano cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma. (Picha na: Frank Mvungi –MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi