Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Nov 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37822" align="aligncenter" width="832"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Pwani Mhe. Zaynabu Matitu (hayupo pichani) kuhusu changamoto za usikivu wa TBC wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37815" align="aligncenter" width="870"] Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37816" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Josephat Kwandikwa akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37817" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellina Mabula akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37818" align="aligncenter" width="939"] Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 07 Novemba 2018 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37819" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu Jenista Mhagama wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 07 Novemba 2018 jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Ajira na Vijana, Anthony Mavunde.[/caption] [caption id="attachment_37820" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu Jenista Mhagama wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi