Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha Bungeni Leo
Sep 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jitegemee wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu leo  Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa  kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri  wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali za wabunge leo wakati wa  kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba akizungumza jambo na Mbunge wa Babati Mjini Mhe.Pauline Gekul  wakati wa  kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola akimskiliza Mbunge wa Bunda Mjini Mhe.Ester Bulaya leo Bungeni Jijini Dodoma

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi