Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Jun 26, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33094" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akifanya majumuisho wakati wa kuhitimisha hoja ya Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2018/19 leo Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33095" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akiwasilisha majibu ya hoja za baadhi ya wabunge wakati wa kuhitimisha hoja ya Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2018/19 leo Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33096" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akifafanua jambo wakati wa kuhitimisha hoja ya Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 leo Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33097" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akifafanua jambo wakati wa kuhitimisha hoja ya Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 leo Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33098" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo wakati wa kuhitimisha hoja ya Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 leo Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33099" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum (Vijana), Halima Bulembo katika kikao cha kuhitimisha hoja ya Mapendekezo ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 leo Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33100" align="aligncenter" width="750"] Bibi. Bahati Ramadhani akiwa amembeba mume wake Bw. Jivunie Mbunda ambaye ni mlemavu walipotambulishwa bungeni leo Jijini Dodoma. Wanandoa wamefunga ndoa ya aina yake hivi karibuni , pia bunge limeazimia kuwachangia shilingi elfu ishirini kutoka katika posho ya kila mbunge leo Jijini Dodoma. (Picha zote na: Frank Shija - MAELEZO, Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi