Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika picha Bungeni
May 04, 2018
Na Msemaji Mkuu

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvivu Mhe.Abdallah Ulega akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

 

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

 

Mbunge wa Namtumbo Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani akiuliza swali wakati  wa kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi