Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bunge Leo
Sep 13, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35226" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akiwasilisha taarifa ya hali ya Sukari nchini wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35227" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Dkt. Agustine Mahiga (kulia) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35228" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35229" align="aligncenter" width="750"] : Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akijibu swali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35230" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Sheria Mtemi Andrew Chenge akiwasilisha Hoja ya Kamati kuhusu maboresho ya sheria mbalimbalimbali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35231" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali la nyongeza wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35232" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kamishna Diwani Athmani akitambulishwa wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_35233" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi pamoja na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi