Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matilda Bryson Ashinda Taji la Miss World Deaf Fashion Model 2019
Jul 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45756" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akisalimiana na mama Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Winfrida Brayson mara baada ya kumpokea mrembo huyo nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019. akitokea nchini nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019. (Picha na WHUSM –DSM)[/caption] [caption id="attachment_45757" align="aligncenter" width="750"] Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Winfrida Bryson akiwapungia mkono wananchi (hawapo pichani) mara baada ya kuwasilili nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019. kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya viziwi ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.[/caption] [caption id="attachment_45758" align="aligncenter" width="750"] Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Winfrida Bryson akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayehusika na walemavu, Stella Ikupa (kulia aliyekaa) pamaoja na ndugu jamaa na marafiki mara baada ya mrembo huyo kuwasili nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019 kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya viziwi ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.[/caption] [caption id="attachment_45759" align="aligncenter" width="818"] Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Matilda Bryson mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019 kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.[/caption] [caption id="attachment_45760" align="aligncenter" width="703"] Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Matilda Bryson akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayehusika na walemavu, Stella Ikupa (kulia aliyekaa) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2010 kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019.[/caption] [caption id="attachment_45761" align="aligncenter" width="804"] Mshindi wa mashindano ya watu wasiosikia Duniani, Matilda Bryson akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayehusika na walemavu, Stella Ikupa (kulia aliyekaa) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019 nchini Urusi yalikofanyika mashindano ya mashindano ya watu wasiosikia ya Mr.& Miss Deaf Fashion Model 2019, kulia ni mshiriki mwenzake Grace Mtui na katikati ni KATIBu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mungereza .[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi