Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maonesho ya Wiki ya Sheria Yaanza Rasmi.
Jan 27, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27983" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Malalamiko na Maadili - Mahakama ya Tanzania, Mhe. Happiness Ndesamburo akisikiliza malalamiko ya mmoja wa wananchi aliyetembelea katika Banda hilo lililopo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_27984" align="aligncenter" width="750"] Watumishi wa Mahakama wakiendelea kuwasikiliza Wananchi waliotembelea katika maonesho hayo yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja na nchi nzima kuanzia Januari 27 - 31, 2018, kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ni Februari 01, 2018 kitaifa itafanyika jijini Dar es Salaam na Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_27985" align="aligncenter" width="750"] Elimu ya Sheria ikiendelea kutolewa kwa wananchi waliotembelea viwanjani hapo mapema Januari 27, 2018 siku ambayo Maonesho yameanza rasmi. Elimu ya Sheria inaendelea nchi nzima pia kwa upande wa Dar es Salaam, huduma hii inatolewa katika vituo mbalimbali vikiwemo vya Sinza, Magomeni, Mbezi Mwisho, Kawe Stendi, Tegeta, Bunju, Mbagala Zakiem, Keko, Mjimwema, Tandika, Mombasa, Kitunda, Banana, Segerea, Ilala sokoni, Kariakoo, Buguruni Sheli na Gerezani.[/caption] [caption id="attachment_27987" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa sehemu ya Mabanda ya Watoa huduma ya Sheria pamoja na wananchi walipotembelea kupata huduma.[/caption] [caption id="attachment_27988" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Banda la Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Maonesho ya Wiki ya Sheria nchini, yanayoendelea nchi nzima, Wizara ni Moja ya Taasisi za Sheria zinazoshiriki katika Maonesho hayo, Taasisi nyingine ni: Tume Ya Utumishi Wa Mahakama, Ofisi Ya Mwanasheria Mkuu Wa Serikali (Agc), Ofisi Ya Mkurugenzi Wa Mashitaka (DPP), Mkemia Mkuu Wa Serikali, TAKUKURU (PCCB), Wakala Wa Usajili, Ufilisi Na Udhamini (Rita) na nyingine nyingi.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi