Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maonesho ya Utalii Yazidi Kufana Dar
Oct 14, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_19606" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wawakilishi wa Rwanda katika maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Utaliii ya Swahili (SITE) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_19609" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wawakilishi wa Rwanda katika maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Utaliii ya Swahili (SITE) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_19612" align="aligncenter" width="750"] Muongozaji wa Watalii wa Kike Bi. Tumaini Paulo Soyala akimuelezea jambo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Kampuni ya Trinity Adventure Safari leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_19615" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi kutoka Rwanda Bw. Riginal HAKIZIMANA (kulia) akimuelekeza ramani ya ameneo ya utalii mmoja wa wageni waliofika katika banda la Remakable Rwanda lilopo katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_19618" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Kampuni ya Utalii ya Trinity Adventure Safari ianyojishughulisha na utoaji wa Tuzo kwa waongoza Watalii Bi. Halle Majors akwelezea baadhi ya watu waliotembelea banda lao katika maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Utaliii ya Swahili (SITE) leo jijini Dar es Salaam.lii[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi