Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mama Mary Majaliwa Ashiriki Mahafali ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids Mjini Ruangwa
Dec 03, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24001" align="aligncenter" width="750"] Watoto wa Shule ya Msingi na Awali ya Wonder Kids wakiimba wimbo wa Shule yao katika Mahafali ya Kwanza ya Shule hiyo iliyopo Ruangwa Mjini[/caption] [caption id="attachment_24002" align="aligncenter" width="750"] Wahitimu wa darasa la Awali wa Shule ya Wonder Kids wakiimba katika Mahafali ya Kwanza ya Shulel hiyo iliyopo Ruangwa Mjini[/caption] [caption id="attachment_24003" align="aligncenter" width="750"] Wahitimu wa wa Shule ya Msingi na Awali ya Wonder Kids wakicheza ngoma ya asili katika Mahafali ya Kwanza ya Shulel hiyo iliyopo Ruangwa Mjini[/caption] [caption id="attachment_24004" align="aligncenter" width="750"] Mgeni Rasmi katika Mahafali ya kwanza ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya mjini Ruangwa , Bw. Craig Ferla ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Children in Crossfire akimkabidhi cheti kwa mhitimu wa Mafunzo ya Awali katika shule hiyo, Jasmine Madamba, Desemba 2, 2017.Wapili kuila ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa.[/caption] [caption id="attachment_24005" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wazazi na waalikwa wa Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya Mjini Ruangwa wakimsikiliza Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa wakati alipozungumza katika Mahafali hayo Desemba 2, 2017.[/caption] [caption id="attachment_24006" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza katika mahafali ya kwanza ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya Mini Ruangwa.[/caption] [caption id="attachment_24007" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na watoto wakati alipotembelea bwalo la chakula la Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya mjini Ruangwa katika mahafali ya shule hiyo[/caption] [caption id="attachment_24009" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na watoto wakati alipotembelea Bwalo la chakula la Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya mjini Ruangwa katika mahafali ya shule hiyo, Desemba 2, 2017.Kulia kwake ni binti yake, Zuleikha Kassim Majaliwa.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi