Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makatibu Wakuu Wakagua Utekelezaji Mapambano Dhidi ya CORONA
Apr 09, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_52072" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya kukabiliana na COVID-19 baada ya kutembelea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani tarehe 8 Aprili, 2020.[/caption] [caption id="attachment_52073" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainab Chaula akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya kukabiliana na COVID-19 na wataalamu wa Afya waliopo katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maarufu Magufuli. Kamati hiyo imefanya ziara tarehe 8 Aprili, 2020. Hosteli za Magufuli ni moja ya maeneo waliyotembelea.[/caption] [caption id="attachment_52074" align="aligncenter" width="750"] Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Zainab Chaula wakitembelea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, ambapo jengo moja lenye vitanda 40 litatumika kuwahudumia wagonjwa watakaobainika kuwa na virusi vya Corona.[/caption] [caption id="attachment_52075" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa mradi wa ujezi wa Hospitali ya kisasa ya magonjwa ya mlipuko, Kanali Solomoni Chausi akitoa taarifa mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya kukabiliana na COVID-19 walipofanya ziara ya kutembelea mradi huo[/caption] [caption id="attachment_52076" align="aligncenter" width="750"] Meneja operesheni wa kiwanda cha kuzalisha barakoa cha kampuni ya Pristine kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam akitoa taarifa kuhusiana na kiwanda hicho mbele ya Kamati ya Kitaifa ya kukabiliana na COVID-19 walipotembelea kiwanda hicho leo tarehe 8 Aprili, 2020.[/caption] [caption id="attachment_52077" align="aligncenter" width="750"] Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu wakiwa ndani ya kiwanda cha kampuni ya Pristine kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam kuona jinsi uzalishaji wa Barakoa unavyofanyika kwenye kiwanda hicho[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi