Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Awasili Nchini Niger
Jul 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_44926" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA).(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption] [caption id="attachment_44927" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA).(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi