Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu Wa Rais Mhe. Samia Amuwakilisha Rais Magufuli Kuhudhuria Kuapishwa Rais Mpya wa Botswana
Nov 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48506" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Edgar Lungu wa Zambia kwenye Hafla ya kuapishwa Rais Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi iliyofanyika leo Novemba 01, 2019 katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana.[/caption] [caption id="attachment_48508" align="aligncenter" width="750"] Rais Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi akihutubia Viongozi wa Nchi mbalimbali na Wananchi wa Botswana Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo leo Novemba 01,2019 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption]   [caption id="attachment_48511" align="aligncenter" width="750"]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Edgar Lungu wa Zambia na Rais Emmason Mnangagwa wa Zimbabwe wakishuhudia wakati Rais Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi alipokuwa akila kiapo kuiongoza Nchi hiyo leo Novemba 01,2019 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi