Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Mhe. Samia Amuwakilisha Rais Magufuli Kuaga Mwili wa Kaduma
Sep 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46464" align="aligncenter" width="750"]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Dkt. Alex Malasusa Askofu wa KKKT Dayosis ya Mashariki na Pwani alipowasili katika Kanisa la KKKT Makongo Juu kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Shuhuli ya kuaga Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu IBrahim Kaduma leo Sept 03,2019.[/caption]   [caption id="attachment_46466" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisani kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Mwanasiasa Mkongwe nchini Marehemu Ibrahim Kaduma alipowasili katika Kanisa la KKKT Makongo Juu kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Shuhuli ya deneme bonusu bedava bonus veren bahis siteleri bedava bonus veren bahis siteleri 1xbet giriş kuaga Mwili wa Mwanasiasa huyo leo Sept 03,2019. Kushoto ni Dkt. Alex Malasusa Askofu wa KKKT Dayosis ya Mashariki na Pwani.[/caption] [caption id="attachment_46470" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuwapa pole Baadhi ya Wajukuu na Vitukuu vya Mwanasiasa Mkongwe Nchini Marehemu IBrahim Kaduma wakati wa shuhuli ya kuaga Mwili wa Mwanasiasa huyo leo Sept 03,2019 katika kanisa la KKKT Makongo Juu, Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Msiba huo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi