Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais, Mama Samia Aongoza Harambee ya Kuichangia Taifa Stars
Jun 20, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44647" align="aligncenter" width="750"] Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa “Taifa Stars” George Masatu (kulia) akiwatakia heri wachezaji wa timu Taifa inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_44648" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi akielezea kwa wageni waalikwa (hawapo pichani) madhumuni ya harambee ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri.[/caption] [caption id="attachment_44649" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya ushindi ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri, Paul Makonda akifafanua jambo kwa wageni waalikwa wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_44650" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Wallace Karia akielezea maendeleo ya timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_44651" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa harambee ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri.[/caption] [caption id="attachment_44652" align="aligncenter" width="986"] Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo kwa wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa harambee ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri.[/caption] [caption id="attachment_44653" align="aligncenter" width="799"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akionesha jezi ya timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” yenye jina la Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyo inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi.[/caption] [caption id="attachment_44654" align="aligncenter" width="855"] Katibu Mkuu wa Wizara wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Susan Mlawi (katikati) akipokea fedha taslimu toka kwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa harambee ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri.[/caption] [caption id="attachment_44655" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (mwenye kilemba) akipokea mfano wa hundi toka kwa mwakilishi wa benki ya CRDB wakati wa harambee ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri.[/caption] [caption id="attachment_44656" align="aligncenter" width="750"] Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa “Taifa Stars” George Masatu (kulia) akiwatakia heri wachezaji wa timu Taifa inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_44664" align="aligncenter" width="768"] Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisaini jezi ya timu ya Taifa “Taifa Stars” wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyo inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri, kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.[/caption] [caption id="attachment_44669" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ushindi ya kuichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu “Taifa Stars” inayoshiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri wakati wa harambee ya kuichangia timu hiyp mapema hii leo jijini Dar es salaam.(Picha na WHUSM-Dar es Salaam)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi