Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa rais azindua Tamasha la Urithi (Urithi Festival)
Sep 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu  akikata utepe kuzindua rasmi Tamasha la Urithi uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

Mtoto wa Shaaba Robert Mzee Ikbali Robert akionyesha Tuzo ya Nguli wa Lugha ya Kiswahili katika uandishi aliyokabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu ikiwa ni ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Baba yake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akimkabidhi Tuzo ya Nguli wa Sanaa ya Urithi Mjukuu wa mzee Morris Nyunyusa kama ishara ya kutambua mchango wake katika kutunza na kudumisha utamaduni.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa kwa mkono na kikundi cha Eddie Collection  wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Urithi uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi