Makamu wa Rais Aweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Rombo
Jul 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti katika eneo la Hospitali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro leo tarehe 18 Julai, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliyopo kata Kirongo Samanga ya mkoani Kilimanjaro wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika Hospitali hiyo leo tarehe 18 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliyopo kata Kirongo Samanga ya mkoani Kilimanjaro leo tarehe 18 Julai, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akicheza ngoma ya kikundi cha Msanja kutoka Kata ya Njoro Manispaa ya Moshi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo mkoani Kilimanjaro leo tarehe 18 Julai 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliyopo kata ya Kirongo Samanga mkoani Kilimanjaro leo tarehe 18 Julai, 2022.