Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Akutana Na Balozi wa Uholanzi na Mwakilishi wa Unicef Nchini
Apr 24, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42387" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana naMwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_42388" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_42389" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.[/caption] [caption id="attachment_42390" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi