Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mwanasiasa Mkongwe, Marehemu John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba mzazi wa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 katika hospitali ya JKCI Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa na mkewe mama Mbonimpaye Mpango wakitoa pole na kumfariji Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kufuatia kifo cha Baba yake John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa waombolezaji mbalimbali waliofika nyumbani kwa marehemu John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam.