Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Philip Mpango akitembea katika Daraja la Magara mara baada ya kulizindua pamoja na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022.