Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamishna wa Jeshi la Polisi Wakiongonzwa na DCI Robert Boaz Wametembelea Mradi Mkubwa wa Kuzalisha Umeme Katika Mto Rufiji.
Oct 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47726" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, akiongoza kikao cha Maafisa na Wahandisi wa Ujenzi wa Mradi Mkubwa wa kuzalisha Umeme katika Mto Rufiji mkoani Pwani baada ya kufanya ziara ya siku moja katika mradi huo.[/caption] [caption id="attachment_47727" align="aligncenter" width="750"] Makamishna wa Polisi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, katikati na kulia kwake ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Maabara na Uchunguzi wa Kisayansi CP Shaban hiki na kushoto kwa CP Boaz ni Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo wakiwa katika picha ya pamoja na Wahandisi wa Ujenzi wa mradi wa Umeme Rufiji baada ya kufanya ziara ya siku moja katika mradi huo.[/caption] [caption id="attachment_47728" align="aligncenter" width="750"] Mhandisi Manda akitoa maelekezo juu ya Ujenzi mradi wa uzalishaji Umeme katika Mto Rufiji kulia kwake ni Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz wa kwanza kutoka kulia ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas (PICHA NA JESHI LA POLISI)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi