[caption id="attachment_45708" align="aligncenter" width="750"] Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akikabidhi Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_45709" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene akimsindikiza Mhe. January Makamba mara baada ya kukamilika kwa hafla ya makabidhiano ya Ofisi katika Ofisi ndogo Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima.[/caption]
[caption id="attachment_45710" align="aligncenter" width="750"]
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya Ofisi: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene (kulia) Mhe. January Makamba na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima.[/caption]