Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Atembelea Kambi ya Wakimbizi ya Nduta Wilayani Kibondo
Feb 18, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40583" align="aligncenter" width="1000"] Kibao kinachoonesha ilipo Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo ambayo ilitembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Februari 18, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40584" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa iliyopo kwenye Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako.[/caption] [caption id="attachment_40585" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madaftari ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipotembelea baadhi ya madarasa ya Shule hiyo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni mkewe Mary.[/caption] [caption id="attachment_40586" align="aligncenter" width="1000"] Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiteta na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40587" align="aligncenter" width="1000"] 1382 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watoto wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipokagua madarasa ya Shule hiyo katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi