Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Arejea Dodoma
Feb 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40008" align="aligncenter" width="800"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amerejea jijini Dodoma leo Februari 1, 2019 baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga[/caption]

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi  (watatu kulia) na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea jijini Dodoma baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi