Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Aongoza Mamia ya Waombolezaji Katika Mazishi ya Wananchi Waliofariki Dunia Katika Ajali ya Mv Nyerere
Sep 23, 2018
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_35598" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima kwenye kaburi la mmoja wa wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35599" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa katika mazishi ya mwananchi waliofariki katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha Bwisa kisiwani Ukara Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35600" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa katika mazishi ya mwananchi waliofariki katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha Bwisa kisiwani Ukara Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35601" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuhusu juhudi zinazofanywa na wahandishi za kukivuta kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe wakati aliposhiriki katika mazishi ya wananchi waliokufa katika ajali ya kivuko hicho kwenye kijiji cha Bwisa kisiwani Ukara Septemba 23, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

[caption id="attachment_35605" align="aligncenter" width="523"] Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande akiomba katika mazishi ya wananchi waliofariki dunia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Mazishi hayo yaliyoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa yalifanyika katika kijiji cha Bwisa kisiwani Bukara, Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35612" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Abood (wapili kulia) akiungana na Masheikh katika sala kwenye mazishi ya wananchi waliofariki dunia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Mazishi hayo yaliongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kijiji cha Bwisa kisiwani Bukara, Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35606" align="aligncenter" width="750"] Wahandisi na mafundi wakifanya juhudi kubwa za kukivuta kivuko cha MV Nyerere ambacho kilizama katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe .Baadhi Wananchi waliofariki dunia katika ajali hiyo walizikwa katika mazishi yaliyoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Bwasa kisiwani Ukara Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35607" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimia na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakati alipowasili katika kijiji cha Bwasa kwenye kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe kushiriki katika mazishi ya wananchi waliofariki dunia katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere, Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35608" align="aligncenter" width="750"] Askari wakiweka kaburini miili ya baadhi ya wananchi walifariki dunia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama kwenye kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe wakati wa mazishi yaliyoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kijiji cha Bwisa kisiwani Bukara, Septemba 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35609" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula na viongozi wengine walioshiriki katika mazishi ya baadhi ya wananchi waliofariki dunia katika ajali ya meli ya MV Nyerere katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe Septemba 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi