Majaliwa Akutana na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji
Jun 08, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022