Majaliwa Akagua Ujenzi wa Majengo ya Wizara Mbalimbali Katika Mji wa Serikali - Mtumba Dodoma
Sep 05, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali - Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika mji wa Serikali - Mtumba jijini Dodoma, Septemba 5, 2022. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenister Mhagama na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mafundi wanaojenga jengo la ofisi kuu ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati alipokagua ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma, Septemba 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma, Septemba 5, 2022.