[caption id="attachment_38663" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uwanja wa michezo wa Ilulu uliopo mjini Lindi, Novemba 21, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.[/caption] [caption id="attachment_38664" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha korosho BUKO cha mjini Lindi ambacho kimesimamisha uzalishaji, Novemba 21, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.[/caption] [caption id="attachment_38667" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati , Afisa anayesimamia Ubora wa Korosho, Dastan Milazi alipokuwa akipima korosho zilizopokelewa kwenye ghala la kiwanda cha korosho cha BUKO cha mjini Lindi wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichosimamisha uzalishaji, Novemba 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]