Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Akabidhiwa Madarasa Yaliyojengwa na Serikali ya Japan
Oct 09, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36554" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na akikata utepe ikiwa ni ishara ya kupokea madarasa mapya yaliyojengwa kwa Msaada wa serikali ya Japan katika Shule ya Msingi ya Nyakato wilayani Bukoba, Oktoba 8, 2018. Kulia kwake ni Mwakilishi wa Balozi wa Japan nchini, Katsutoshi Takeda. Majengo ya shule hiyo yaliharibiwa na tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa wa Kagera.[/caption] [caption id="attachment_36558" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea funguo kutoka kwa Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini, Katsutoshi Takeda ikiwa ni ishara ya kukabidhiwa madarasa yaliyojengwa na serikali ya Japan katika Shule ya Msingi ya Nyakato wilayani Bukoba, Oktoba 9, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu[/caption] [caption id="attachment_36556" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwakilishi wa Balozi wa Japan nchini, Bw. Katsutoshi Takeda wakiwa kwenye moja ya madarasa yaliyojengwa kwa ufadhili wa serikali ya Japan katika shule ya msingi ya Nyakato wilayani Bukoba ambayo iliharibiwa na tetemeko la ardhi. Madarasa hayo yalikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Oktoba 9, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36557" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kupokea madarasa yaliyojengwa kwa masada wa serikali ya Japan katika shule ya msingi ya Nyakato wilayani Bukoba ambayo iliharibiwa na tetemeko la ardhi la Kagera. Madarasa hayo yalikabidhiwa kwa Waziri Mkuu na Mwakilishi wa Balozi wa Japan nchini, Bw. Katsutoshi Takeda, Oktoba 9, 2018.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi