Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Wilaya na Mikoa
Jun 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3619" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Grace Matemu ambaye ni Meneja wa tawi la Benki ya NMB la Bunge wakati alipokwenda katika tawi hilomjini Dodoma kupata huduma za kibenki Juni 15, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3625" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3629" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba kitabu cha "Muongozo wa Kitaifa wa Usimamizi wa Huduma za Mifugo" baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma, Juni15, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_3630" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba baada ya kufungua Mkutano wa Maafisa Kilimo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole- Nasha.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi