Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Aanza Ziara ya Mkoani Mara
Jan 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27085" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Gaudencia Kabaka baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma kuanza ziara mkoani humo Januari 15, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima,[/caption] [caption id="attachment_27087" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi waliofiika kwenye uwanja wa ndege wa Musoma kumlaki baada ya kuwasili mjini Musoma kuanza ziara ya Mkoa wa Mara Januari 15, 2017.[/caption] [caption id="attachment_27088" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia ngoma ya Rirandi ya asili ya kabila la Wakurya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma kuanza ziara ya mkoa wa Mara Januari 15, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.[/caption] [caption id="attachment_27089" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua majengo ya Shule ya Secondari ya Ufundi Musoma akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 15, 2017.Serikali imetoa shillingi bilioni 1.28 kwa ajilli ya ukarabati huo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na kulia kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mara, Samweli Kiboyi. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, Mutta Venance.[/caption] [caption id="attachment_27090" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya bweni la Shaban Robert wakati alipokagua ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Ufundi Musoma akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 15, 2017. Serikali imetoa zaidi ya shilling bilion 1.28 ili kugharimia ukarabati huo.[/caption] [caption id="attachment_27091" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ya Mwalimu Nyerere iliyopo Kwangwa mjini Musoma akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 15, 2017. Kulia wake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi