[caption id="attachment_36397" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama Ngoma ya kikundi cha Kakau Band wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kuanza awamu ya pili ya ziara ya mkoa huo itakayochukuwa siku nne, Oktoba 6, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36398" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama Ngoma ya kikundi cha Kakau Band wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kuanza awamu ya pili ya ziara ya mkoa huo itakayochukuwa siku nne, Oktoba 6, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36400" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma bango lenye malalamiko ya mmoja wa wananchi wa Bukoba wakati alipowasalimia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba baada ya kuwasili kwa ziara ya siku nne mkoani humo, Oktoba , 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti na kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.[/caption] [caption id="attachment_36401" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wafanyabiashara wa zao la kahawa wa mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36402" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na wafanyabiashara wa zao la kahawa kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti.[/caption] [caption id="attachment_36403" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na wafanyabiashara wa zao la kahawa kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, wanne kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijhage na watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]