Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majadiliano ya Bajeti Wizara ya Maji Yaendelea
May 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42745" align="aligncenter" width="768"] Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakichangia hoja wakati wa majadiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42753" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42746" align="aligncenter" width="982"] Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wakifuatilia michango ya Wabunge wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42747" align="aligncenter" width="781"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenyeulemavu, Stella Ikupa wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42748" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuku cha Dodoma (UDOM), wakifuatilia shughuli za Bunge wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42749" align="aligncenter" width="915"] Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akizungumza jamabo mbele ya Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wakifuatilia michango ya Wabunge wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya hiyokwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma. (Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi