Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicor 10.2) yanayoendelea nchi nzima leo yakiwa katika siku ya tatu, mkoani Mwanza katika Picha.
Jun 06, 2018
Na Msemaji Mkuu

Ndugu Melkizedeki Kimaro, Mhasibu Mwezeshaji OR TAMISEMI akiwasilisha mada kuhusu mchakato wa Imprest kwakutumia mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa wa (Epicol 10.2) kwenye ukumbi wa Victoria Palace Jijini Mwanza.

Stanslaus Msenga Mmoja ya Wawezeshaji wa mafunzo ya mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa (Epicol 10.2) kutoka OR TAMISEMI, akiwa anatoa msaada wa kiufundi kwa mmoja ya wahasibu wakati wa mafunzo hayo yanayoendelea kwa siku ya tatu.

Watunza Hazina na Wahasibu kutoka katika Halmashauri za Mikoa ya Mwanza na Simiyu wakiwa wanafatilia kwa ufasaha mafunzo ya Uhasibu na utoaji taari kwa njia ya kieletroniki (Epicol) wakifatilia kwa makini mafunzo hayo.

Laurent Mguma, Kaimu Mweka Hazina wa Halmashauri ya Meatu, akifanya nukuu muhimu za mafunzo hivi leo kuhusu mfumo wa Epicol, kama alivyokutwa na Kamera yetu kwenye ukumbi wa Viktoria Palace.

Washiriki wakiwa makini kuhakikisha mara baada ya mafunzo wanaanza kutumia vema mfumo wa Uhasibu na utoaji wa tarifa.

Washiriki wakiwa makini kuhakikisha mara baada ya mafunzo wanaanza kutumia vema mfumo wa Uhasibu na utoaji wa tarifa

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi