Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya Kukabili Makosa ya Kijinsia na Watoto kwa Makamanda wa Polisi Yaendelea Dar
May 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31460" align="aligncenter" width="1000"] Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi Hasina Tawfiqi akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption] [caption id="attachment_31461" align="aligncenter" width="1000"] Mrakibu wa Polisi, Faidha Suleman kutoka Dawati la Jinsia na Watoto akiwasilisha mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption] [caption id="attachment_31462" align="aligncenter" width="1000"] Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption] [caption id="attachment_31463" align="aligncenter" width="1000"] Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Henry Mwaibambe akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption] [caption id="attachment_31464" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Dawati la Jinsia na watoto, Naibu Kamishna wa Polisi, Maria Nzuki akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi