Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maeneo 17 Dar Kufungwa CCTV Kamera
Apr 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41675" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akiongoza Kikao cha wadau kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, kujadili Mradi wa kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41676" align="aligncenter" width="750"] Washiriki wa Kikao cha Wadau wa kujadili Mradi wa Kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam,Faraji Ntembo na Faizer Mbange(kushoto), wakipitia moja ya nyaraka inayohusu mradi huo wakati wa kikao hicho kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41677" align="aligncenter" width="750"] Mshiriki wa Kikao cha Wadau wa kujadili Mradi wa Kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu (CCTV Kamera) katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam,Wankyo Nashon akichangia hoja, kushoto ni mshiriki Lina Rujweka. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi