Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Jijini Dodoma
May 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42637" align="aligncenter" width="816"] Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akihutubia hadhira ya wafanyakazi wa Serikali, Taasisi za Umma na Sekta binafsi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.”[/caption] [caption id="attachment_42638" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge (katikati) pamoja na viongozi wengine wakishiriki kuimba wimbo maalum wa umoja na mshikamano wa wafanyakazi alipokuwa mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoa wa Dodoma leo katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.” Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula.[/caption] [caption id="attachment_42639" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wakiimba wimbo maalum wa umoja na mshikamano wa wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Kimkoa leo katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.”[/caption] [caption id="attachment_42640" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa maandamano ya wafanyakazi katika kusherehekea Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani mkoani Dodoma leo. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.”[/caption] [caption id="attachment_42641" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wakiwa katika maandamano ya wafanyakazi katika kusherehekea Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani mkoani Dodoma leo. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.”[/caption] [caption id="attachment_42642" align="aligncenter" width="1000"] Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta Kuu ya Ujenzi), wakionyesha Bango la wizara yao mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoa wa Dodoma leo katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.”[/caption] [caption id="attachment_42643" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wafanyakazi wanawake wakishiriki shindano la kukimbiza Kuku wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mkoani Dodoma leo. Kauli Mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Tanzania ya Uchumi wa Kati Inawezekana, Wakati wa Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi ni Sasa.” (Na: Idara ya Habari MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi