Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Na
Jacqueline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha miaka 60 ya JKT kwenye kilele cha Maadhimisho ya Jeshi hilo yaliyofanyika Julai 10, katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Vijana wa JKT wakipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa haraka na kutoa heshima mbele ya Mgeni Rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya JKT toka kuanzishwa kwake yaliyofanyika katika Viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 10 Julai, 2023