Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kinondoni ya Pambana na Corona kwa Kupulizia Dawa kwenye Maeneo ya Mikusanyiko
Mar 27, 2020
Na Msemaji Mkuu

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na wataalam wa afya wa Halmashauri hiyo na mkoa wa Dar es Salaam wameendesha zoezi la upuliziaji dawa katika vituo vya mabasi yaendayo haraka pamoja na vituo vya daladala ikiwa ni katika mkakati wa kudhibiti  maambukizi ya virusi vya Corona.

Zoezi hilo limefanyika katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika makazi ya canlı casino mersin escort canlı casino sincan escort mersin escort canlı bahis wananchi , maeneo ya kutolea huduma mbalimbali ikiwemo masoko sambamba na kwenye mikusanyiko ya watu hususani  kanisani na msikitini.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mstahiki Meya wa Halmashauri hiyo, Mhe. Benjamini Sitta amesema kuwa zoezi hilo linafanyika kwa lengo la kuua wadudu wanaosababisha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID 19) na kwamba maeneo yote katika Halmashauri hiyo yatapuliziwa dawa.

Meya Sitta amefafanua kuwa kwa sababu ugonjwa huo umekuwa tishio kubwa duniani, Halmashauri hiyo imejipanga kikamilifu katika kuukabili ugonjwa huo usisambae ikiwa ni pamoja na kusambaza wataalam wa kupulizia dawa hiyo kwenye kata zote za Halmashauri hiyo.

“Kwa ujumla tunashiriki ipasavyo katika kupambana na maambukizi ya virusi hivi, kwa pamoja tunaunganisha nguvu kutoka kwenye ngazi ya Mkoa, Kinondoni ni Halmashauri moja wapo ambayo imeanza zoezi hili  kwenye maeneo yote na leo tumeanzia Kata ya Msasani ambapo ndio kuna watalii wengi” amesema Mhe. Sitta.

Aidha, Mhe. Meya Sitta amesisitiza kuwa Kinondoni imejipanga na hivyo kuishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kudhibiti na kupambana dhidi ya kutokomeza ugonjwa huo sambamba na kuwaelimisha wananchi jambo ambalo limepokelewa kwa asilimia 100.

Kwa upande wake Mratibu wa Malaria Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Ford Chisongela amesema kuwa mkoa unashirikiana na Halmashauri katika kuhakikisha kuwa unatokomeza ugonjwa huo unaosababishwa na virusi vya COVID 19 (virusi vya Corona) kwa kupulizia free porn videos brazzers youporn porno xhamster pornhub porno dawa hizo katika maeneo yote ya mkoa huo.

Amefafanua kuwa katika kuongeza nguvu ya kupulizia dawa hiyo, mkoa umeamua kutumia magari ya zimamoto pamoja na yale ya Polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) kwa lengo la kuongeza nguvu katika zoezi hilo kwa kuwa magari hayo yanauwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa haraka na hivyo kuwatoa hofu wananchi wasishtuke pindi watakapo yaona mitaani.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi