Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kikao cha Wadau wa Sekta ya Madini kwa Ajili ya Kujadili Rasimu ya Mwongozo wa Ufungaji Migodi Chafanyika Jijini Dodoma.
Feb 08, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40240" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akifungua kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya na Kulia kwake ni Mkurugenzi Ukaguzi wa Madini na Biashara ya Madini Venance Mwase na Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga.[/caption] [caption id="attachment_40241" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akifungua kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya na Kulia kwake ni Mkurugenzi Ukaguzi wa Madini na Biashara ya Madini Venance Mwase na Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga.[/caption] [caption id="attachment_40242" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40243" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya akizungumza na wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40244" align="aligncenter" width="800"] Washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi wakifuatilia majadiliano mbalimbali leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40245" align="aligncenter" width="800"] Washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi wakifuatilia majadiliano mbalimbali leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40246" align="aligncenter" width="800"] Washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi wakifuatilia majadiliano mbalimbali leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40247" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga akiwasilisha muhtasari wa rasimu ya mwongozo wa ufungaji migodi leo Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi