Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Mambo ya Ndani Meja Jenerali Kingu Akagua Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dodoma.
Nov 16, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48997" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (Wa pili kushoto), akikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_48998" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akipokea maelezo kutoka kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza jinsi ujenzi unavyoendelea wakati ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_48999" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akitoa maelekezo kwa Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma leo. (Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi