Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Mambo ya Ndani Akutana na Wataalamu Kutoka Benki ya Dunia
Jul 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5840" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia nchi zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi. Wataalam hao waliofika Wizarani leo Jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.[/caption] [caption id="attachment_5841" align="aligncenter" width="750"] Kiongozi wa timu ya Wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa kuzisaidia nchi zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, Joanna De-Berry (wakwanza kulia), akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Wataaalamu hao walifika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Wizara, jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_5842" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, baada ya timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi kutembelea Wizara wakiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_5843" align="aligncenter" width="750"] Mratibu wa Mpango wa Kusaidia Wakimbizi na Nchi zinazohifadhi Wakimbizi,Dk. John Jingu, akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,baada ya timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi kutembelea wizara wakiwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_5848" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumuia Wakimbizi(UNHCR), Joan Allison baada ya timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi kumaliza kikao kilichojadili masuala mbalimbali ya wakimbizi. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara , jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_5849" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi