Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Apokea kwa Niaba ya Rais Kanuni za Sheria ya Madini Namba 7 ya Mwaka 2017
Jan 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26783" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimpa muhtasari Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kabla ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_26784" align="aligncenter" width="750"] : Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi baada ya ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_26785" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_26786" align="aligncenter" width="750"] Kitabu cha Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017[/caption] [caption id="attachment_26788" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, wakiwa na vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 baada ya Balozi Kijazi kuvipokea kwa niaba ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_26789" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango kitabu cha Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 baada ya Balozi Kijazi kuvipokea kwa niaba ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi 11, 2018. Wengine ni Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila. (Picha na Ikulu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi