Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kampuni ya Geopoll Yakutana na NBS Kujadili Takwimu za Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni Zinazotolewa na Kampuni hiyo Nchini.
Oct 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_21076" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza leo na ujumbe kutoka Kampuni ya GeoPoll wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotolewa na kampuni hiyo hapa nchini. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman.[/caption] [caption id="attachment_21077" align="aligncenter" width="1000"] Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman akizungumza leo wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotelewa na kampuni hiyo hapa nchini.[/caption] [caption id="attachment_21078" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Kampuni ya GeoPoll wakifuatilia kwa makini kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini.[/caption] [caption id="attachment_21079" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman na Mwakilishi kutoka Idara ya Habari -MAELEZO Casmir Ndambalilo baada ya kumaliza kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi