Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

JKCI, Shirika la Kimataifa la Mending Kids Wafanya Upasuaji wa Kifua kwa Watoto 23
Sep 27, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_35783" align="aligncenter" width="750"] Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanya mtoto upasuaji wa kuziba tundu kwenye moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto tisa wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.[/caption] [caption id="attachment_35784" align="aligncenter" width="750"] Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mtoto upasuaji wa kuziba tundu kwenye moyo kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa kambi maalum ya matibabu ya siku tatu iliyomalizika jana. Upasuaji huo hufanyika bila kufungua kifua kwa kupitia tundu dogo linalotobolewa kwenye paja. Jumla ya watoto 14 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa kuziba matundu na kutanua mishipa ambayo haipitishi damu vizuri na hali zao zinaendelea vizuri.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi