Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Zimamoto Wazindua Namba 114 ya Uokozi
Aug 01, 2017
Na Msemaji Mkuu

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akikabidhiwa kipeperushi na Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyoi ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu na Ajali (UAC), Eliot Andrew (kushoto) wakati wa Uzinduzi wa namba 114 ambayo ni ya dharara hususani kutoa taarifa za majanga ya moto, ajali, tetemeko na majanga mengine

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akiongea wakati wa Uzinduzi wa namba 114 ambayo ni ya dharara hususani kutoa taarifa za majanga ya moto, ajali, tetemeko na majanga mengine . Kulia ni Naibu Kamishna Rasirimali Watu wa Jeshi hili, Billy Mwakatage na kushoto ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyoi ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu na Ajali (UAC), Eliot Andrew.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akionesha namna ya uwekaji stika yenye namba ya dharura 114 inayobandikwa kwenye vyombo vya usafiri na maeneo mengine kwa ajili ya kutumiwa na wananchi kutoa taarifa za majanga.

(Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi