Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Jarida la TADA Newsletter Lakabidhiwa Leseni ya Uchapishaji
Oct 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_16711" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter” Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16712" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimwelezea jambo Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav mara baada ya kumkabidhi leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter” leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16713" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia Tanzania (TADA) Dinesh Vaishnav akifurahia Jarida la Nchi Yetu linalotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) alipotembelea Ofisi za Idara hiyo leo kwa ajili ya kupokea Leseni ya uchapishaji wa Jarida la “TADA Newsletter”. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.
Picha na: Frank Shija[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi