Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Jaji Mkuu Atembelea Ofisi ya Mkoa wa Mwanza, Atoa Pole Ajali ya Mv Nyerere
Oct 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36824" align="aligncenter" width="750"] Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella, Mhe. Jaji Mkuu alipata wasaa wa kutoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na wananchi wote waliopatwa na maafa ya kivuko cha MV Nyerere yaliyotokea Septemba, 20, 2018 katika wilaya ya Ukerewe.[/caption] [caption id="attachment_36826" align="aligncenter" width="750"] Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella nakala ya kijitabu cha Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) wa Mahakama ya Tanzania, pindi Mhe. Jaji Mkuu alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huyo, wa pili kushoto ni Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Mwanza, Mhe. Sam Rumanyika.[/caption] [caption id="attachment_36825" align="aligncenter" width="750"] Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella (wa nne kushoto), Mhe. Jaji Mkuu aliyetembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita aliambatana na Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Mhe. Jaji Sam Rumanyika (wa tatu kulia) na baadhi ya Maafisa wa Mahakama mkoani Mwanza.
(Picha kwa hisani ya Ibrahimu Mohamedi, Mahakama Kuu Mwanza)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi