Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

IGP Sirro Afunga Mkutano wa URRA SACCOS Morogoro
Nov 22, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23249" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa Polisi wakati wa hafla fupi ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama hicho uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze kuboresha maisha yao.[/caption] [caption id="attachment_23250" align="aligncenter" width="750"] Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (hayupo pichani) wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze kuboresha maisha yao.[/caption] [caption id="attachment_23251" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa SACCOS hiyo wakati wa hafla fupi ya kufunga mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro.(Picha na Jeshi la Polisi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi