Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Kuwapongeza Wanafunzi Waliofaulu Mitihani ya Taifa.
Sep 10, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_46647" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akiwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaalika chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_46642" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_46641" align="aligncenter" width="750"] Mwaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja na kuwaandalia chakula cha mchana, hafla iliyotayarishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_46644" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia mwanafunzi Wahda Mbarak Uzia wa Skuli ya Sekondari ya Fedha katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaandalia chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar, ,kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe.Riziki Pambe Juma.[/caption] [caption id="attachment_46646" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wanafunzi wakichukua chakula katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi